Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Newala Juni, 2025
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA 13-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi ya kazi kuwa usaili kwa kada ya Dereva Daraja la II utafanyika kuanzia 19 hadi 21 Juni 2025.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA
Tarehe: 13 Juni 2025
Kumb. Na: FA.170/368/01/09
Maelekezo kwa Wasailiwa:
-
Wasailiwa wote wanapaswa kuangalia akaunti zao kupitia Ajira Portal kuthibitisha jina, muda, na mahali pa usaili.
-
Kila msailiwa anatakiwa kuwa na kitambulisho halali: NIDA, kazi, mpiga kura, au pasipoti.
-
Kuja na vyeti halisi vya kuzaliwa, kidato cha IV na VI, leseni ya udereva na vyeti vya mafunzo.
-
Vyeti visivyokubalika: Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, slips za mitihani.
-
Waombaji waliomaliza nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na NECTA, NACTE au TCU.
-
Wasailiwa watajigharamia chakula, usafiri na malazi.
-
Usaili ni kwa waombaji waliokidhi vigezo tu. Majina yasiyo kwenye tangazo hayawezi kushiriki usaili.
-
Madereva wenye leseni daraja C au E waje na vyeti halali vya mafunzo ya daraja husika.
-
Namba ya mtihani ipatikane kupitia akaunti ya ajira kabla ya siku ya usaili.
-
Ikiwa nyaraka zako zina majina tofauti, wasilisha Hati ya Kiapo ya kubadilisha jina (Deed Poll).
Ratiba ya Usaili – Kada ya Dereva Daraja II
Aina ya Usaili | Tarehe | Saa | Mahali |
---|---|---|---|
Usaili wa Mchujo | 19-06-2025 | 07:00 Asubuhi | Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala |
Usaili wa Vitendo | 20-06-2025 | 07:00 Asubuhi | Viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Newala |
Usaili wa Mahojiano | 21-06-2025 | 07:00 Asubuhi | Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala |
Baadhi ya Majina ya Walioitwa:
-
ABDALLA BAKARI ABDALLA – P.O Box 32, Masasi
-
ABDULAZIZ ABDALLA CHAGGA – P.O Box 13, Newala
-
ABRAHAM SHABAN – P.O Box 48, Mtwara
-
ADAM IBRAHIM IBRAHIM – P.O Box 1073, Mtwara
-
ADILI MWINYI MOHAMED – P.O Box 55, Lindi
-
…na wengine wengi zaidi ya 150 kwenye orodha kamili.
Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Newala
Kwa kushirikiana na
Ofisi ya Rais – TAMISEMI
Makala Nyingine:
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Temeke Juni, 2025
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Buhigwe Juni, 2025
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Malinyi Juni, 2025
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Tunduru Juni, 2025
- Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Manispaa Ya Musoma Juni, 2025
Tags: Halmashauri, Wilaya Ya Newala