elimuforum
elimuforum's Latest Posts
Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025, Matokeo ya Utumishi wa Umma, Serikalini

Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025/2026, Matokeo ya Utumishi wa Umma, Serikalini PDF list na orodha ya majina ya walioitwa na kufaulu usaili, Matokeo ya Interview kutoka Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni muhimu kwa fursa za ajira katika utumishi wa umma nchini Tanzania. Kwa wengi, kupata vyeo […]
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga June, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga 02-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za ajira baada ya kupokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu – Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kumb. Na. FA.228/613/01G/085 ya tarehe 12 Mei, 2025. […]
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai June, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai 02-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa na ujuzi, kufuatia kibali cha ajira kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025). 1. […]
Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze June, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze anatangaza nafasi za kazi kwa Watanzania wenye sifa, kufuatia kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, 2025). 1. MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI (5) Majukumu ya Kazi: […]
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Shinyanga June, 2025

Tangazo La Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Shinyanga 01-06-2025, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa, kufuatia kibali cha ajira mpya kutoka Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kupitia barua yenye Kumb. Na. FA.97/288/01/A/25 ya tarehe 29 Aprili, […]
Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Jeshi La Polisi Tanzania 2025

Waliochaguliwa Kujiunga Na Jeshi La Polisi Tanzania 2025, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anawatangazia vijana wote waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi kuwa wanatakiwa kuripoti Shule ya Polisi Moshi kwa ajili ya kuanza mafunzo ya awali kwa tarehe na utaratibu ufuatao: 1. Tarehe ya Kuripoti Shule ya Polisi Moshi Vijana wote wanatakiwa kuripoti kuanzia […]
Nafasi za Kujiunga na Jeshi la JWTZ 2025 Utaratibu

Nafasi za Kazi Kujiunga na Jeshi la JWTZ 2025 Utaratibu Sifa na Vigezo vya kujiunga na Jeshi la wananchi wa Tanzania. www.jwtz.go.tz 2025/2026 jwtz new update, Ajira JWTZ. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni taasisi ya kijeshi ya Taifa inayojukumu la kulinda mipaka ya nchi, usalama wa Taifa na kusaidia shughuli mbalimbali […]
Tamisemi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano Form five Selection 2025

Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato cha Tano 2025/2026 Form Five Selection Tamisemi Selform Selection Form Five 2025 to 2026 PDF Uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Tano ni hatua muhimu katika mfumo wa elimu nchini Tanzania. Kila mwaka, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) hushirikiana na […]
Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi

Majina ya waliochaguliwa JWTZ 2025 Jeshi la Ulinzi la Wananchi, www.jwtz.go.tz 2025 News, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni taasisi ya kijeshi inayowajibika na ulinzi wa mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na usalama wa taifa kwa ujumla. Kila mwaka, JWTZ hufanya mchakato wa kuandikisha vijana waliomaliza elimu ya sekondari, […]
Links za Magroup ya Malaya Whatsapp 2025 Na Mapenzi

Links za Magroup ya Malaya Whatsapp 2025, WhatsApp Group za Malaya Tanzania 2025 Katika ulimwengu wa kidigitali wa leo, mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku. WhatsApp, ikiwa ni moja ya majukwaa maarufu zaidi, hutumiwa na watu kuwasiliana, kushirikiana mawazo, na pia kuanzisha au kudumisha mahusiano ya kimapenzi. Mwaka 2025, kumekuwa […]