TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI 13-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa anapenda kuwataarifu waombaji wa ajira kuwa usaili kwa kada ya Dereva Daraja la II utafanyika kuanzia 19 hadi 21 Juni 2025, kwa waombaji waliokidhi vigezo.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA
Tarehe: 13 Juni 2025
Kumb. Na: FA.170/360/01/59
Maelekezo kwa Wasailiwa:
-
Wasailiwa wote wanapaswa kufika katika muda, tarehe na sehemu zilizoainishwa kwenye ratiba.
-
Vaa barakoa kwa ajili ya tahadhari ya kiafya.
-
Kuja na kitambulisho halali: uraia, kazi, mpiga kura, au pasipoti.
-
Kuja na vyeti halisi vyote: cheti cha kuzaliwa, kidato cha IV, VI, stashahada au shahada.
-
Testimonials, Provisional Results, Statement of Results, na slips hazitakubalika.
-
Wasailiwa watagharamia wenyewe chakula, usafiri na malazi.
-
Vyeti kutoka nje ya nchi lazima viwe vimehakikiwa na NECTA, NACTE au TCU.
-
Namba ya mtihani ipatikane kwenye akaunti yako ya ajira kabla ya siku ya usaili.
-
Majina yasiyoonekana kwenye tangazo hili hayakufikia vigezo – mnaombwa kuendelea kuomba tena nafasi nyingine.
-
Madereva lazima walete vyeti vya mafunzo ya udereva vinavyothibitisha uhalali wa leseni daraja E au C.
Ratiba ya Usaili – Dereva Daraja II
Aina ya Usaili | Tarehe | Saa | Mahali |
---|---|---|---|
Usaili wa Mchujo | 19-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa |
Usaili wa Vitendo | 20-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa |
Usaili wa Mahojiano | 21-06-2025 | 07:30 Asubuhi | Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa |
Majina ya Wasailiwa:
Miongoni mwa walioitwa kwenye usaili ni:
-
ABDALLA ALLY HASSAN – P.O. Box 73, Lindi
-
ABDULAZIZ ISSA MWAITEBE – P.O. Box 26, Lindi
-
ABEL WILFRED KAMBA – P.O. Box 410, Mtwara
-
ABENETHO MOHAMED – P.O. Box 200, Lindi
-
…na wengine zaidi ya 130 waliotajwa kwenye orodha kamili.
Imetolewa na:
Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
Kwa kushirikiana na
Ofisi ya Rais – TAMISEMI
call_for_interview_advert (7) pdf KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA MALINYI
Makala Nyingine:
Tuachie Maoni Yako