Tag: Halmashauri ya Jiji la Arusha
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Jiji La Arusha Juni, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za ajira mpya kufuatia kibali cha ajira Kumb. Na. FA/97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 15 1.1 […]