Ratiba ya mechi za Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2025/2026 Tanzania Bara, Kwenye makala hii tutaangalia kwa kina mechi za simba zilizobaki ligi kuu Tanzania Msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2025/26.
Simba Sports Club ni moja ya vilabu vikubwa zaidi vya soka nchini Tanzania. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936 kama Queen, kisha ikabadilishwa jina kuwa Sunderland na hatimaye mwaka 1971 ikapewa jina la Simba. Simba inashiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na michuano ya kimataifa kama Ligi ya Mabingwa Afrika.

Katika msimu huu mpya wa 2025/2026, Simba inajiandaa kupambana katika mechi nyingi za ligi kuu, zikiwa na malengo makubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi.
Ratiba Ya Simba 2025/2026 Mechi Zilizobaki NBC Ligi kuu
| 16:0022/02/2026 | Tanzania Prisons Simba |
– – |
| 16:0025/02/2026 | Pamba Jiji Simba |
– – |
| 17:0001/03/2026 | Young Africans Simba |
– – |
| 16:1505/03/2026 | Fountain Gate Simba |
– – |
| 19:0005/03/2026 | Simba Coastal Union |
– – |
| 16:1512/03/2026 | Namungo Simba |
– – |
| 16:1515/03/2026 | Azam Simba |
– – |
| 14:0018/03/2026 | Simba JKT Tanzania |
– – |
| 19:0004/04/2026 | Simba Tanzania Prisons |
– – |
| 16:0012/04/2026 | Mashujaa Simba |
– – |
| 16:0015/04/2026 | Coastal Union Simba |
– – |
| 16:0019/04/2026 | Simba Dodoma Jiji |
– – |
| 17:0003/05/2026 | Simba Young Africans |
– – |
| 19:0003/05/2026 | Simba Pamba Jiji |
– – |
| 19:0006/05/2026 | Mbeya City Simba |
– – |
| 16:0019/05/2026 | Mtibwa Sugar Simba |
– – |
| 16:0026/05/2026 | Simba Singida Black Stars |
– – |
| 16:0029/05/2026 | Simba KMC |
– – |
Taarifa Muhimu za Simba SC:
- Ilianzishwa: 1936
- Makao makuu: Dar es Salaam
- Ligi: Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika
- Kocha Mkuu: Fadlu Davids
- Uwanja wa KMC Complex:
Ratiba ya Mechi Zilizobaki za Simba SC Ligi Kuu NBC 2025/2026
Katika makala hii, tutapitia kwa undani ratiba ya mechi zilizobaki za Simba SC katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2025/2026. Ratiba hii inaonyesha tarehe, muda, na timu pinzani ambazo Simba SC itakutana nazo.
Ratiba hii inaonyesha kwamba Simba SC inakabiliwa na mechi ngumu na za kuvutia katika Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2025/2026. Ili kufanikisha lengo lao la kutwaa taji la ligi, ni lazima waonyeshe kiwango cha juu katika mechi zote, hasa zile za ugenini. Mashabiki wa Simba wana matumaini makubwa kwamba timu yao itafanya vizuri na kurejesha furaha ya ubingwa.
Katika msimu huu, Simba SC itategemea wachezaji wake nyota, pamoja na mbinu bora za kocha wao, ili kuhakikisha inapata mafanikio makubwa. Ni msimu ambao unatarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa na wa kuvutia kwa wapenda soka nchini Tanzania.
Makala Nyingine:
- Mechi ya Simba na Yanga Ni Lini
- Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara (Simba Na Yanga)
- Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba Makadirio
- Majina ya Wachezaji wapya wa Simba Waliosajiliwa Msimu Huu
- Kikosi Cha Simba Majina Ya Wachezaji Wote
- Timu zilizofuzu Makundi Kombe La Shirikisho Africa CAF
- Msimamo Ligi Kuu NBC Tanzania Bara
- Ratiba ya ligi kuu NBC Tanzania Bara









Hi