Tag: Simba

Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania

Filed in Michezo by on May 23, 2025 1 Comment
Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania

Ratiba ya mechi za Simba Sc Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara, Kwenye makala hii tutaangalia kwa kina mechi za simba zilizobaki ligi kuu Tanzania Msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2024/25.  Simba Sports Club ni moja ya vilabu vikubwa zaidi vya soka nchini Tanzania. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1936 kama Queen, kisha […]

Continue Reading »

Simba Yatangaza haitocheza Mechi Ya Derby Tar 8, Machi 2025

Filed in Michezo by on April 16, 2025 0 Comments
Simba Yatangaza haitocheza Mechi Ya Derby Tar 8, Machi 2025

Simba Yatangaza haitocheza Mechi Ya Derby Tar 8, Machi 2025, Ni baada ya kufanyiwa vuruu jana wakijiandaa kungia taifa ili kufanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi yao dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba imesema imesikitishwa na vitendo visivyo vya kiungwana dhidi ya Timu hiyo kuelekea Mchezo wa Ligi Kuu NBC dhidi ya Yanga, […]

Continue Reading »

Alichokisema Kocha wa Simba Fadlu Davids Baada ya Sare dhidi ya Coastal Union

Filed in Habari, Michezo by on April 15, 2025 0 Comments
Alichokisema Kocha wa Simba Fadlu Davids Baada ya Sare dhidi ya  Coastal Union

Katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kati ya Simba na Coastal Union, matokeo ya 2-2 yaliibua mjadala mkubwa. Baada ya mchezo huo, Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, alitoa maoni yake kuhusu matokeo hayo na changamoto zilizojitokeza. Matokeo ya Mechi: Simba 2 – 2 Coastal Union Timu Kipindi cha Kwanza Kipindi cha Pili […]

Continue Reading »