Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2024/2025 Makadirio, kwenye makala hii tutachambua uwezekano wa kiasi cha pesa wanacholipwa wachezaji wa simba kulingana na uwezo wa kila mtu uwanjani.
Makadirio Ya Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba SC 2024/2025
Hapa chini kuna makadirio ya mishahara ya wachezaji muhimu wa Simba SC kwa msimu wa 2024/2025:
- Sadio Kanouté (Mali) – 16 Milioni
- John Raphael Bocco (Tanzania) – 15 Milioni
- Moses Phiri (Zambia) – 15 Milioni
- Aishi Salum Manula (Tanzania) – 14 Milioni
- Henoc Inonga Baka (DR Congo) – 11 Milioni
- Mohamed Hussein (Tanzania) – 10 Milioni
- Shomari Kapombe (Tanzania) – 10 Milioni
- Fondoh Che Malone (Cameroon) – 9 Milioni
- Aubian Kramo (Côte d’Ivoire) – 9 Milioni
- Luis Miqussion (Tanzania) – 8.1 Milioni
- Mzamiru Yassin (Tanzania) – 7 Milioni
- Fabrice Ngoma (DR Congo) – 7 Milioni
- Saido Ntibanzokiza (Burundi) – 6.2 Milioni
- Peter Banda (Malawi) – 6 Milioni
- Willy Onana (Cameroon) – 6 Milioni
- Denis Kibu (Tanzania) – 3.7 Milioni
- Kennedy Juma (Tanzania) – 3 Milioni
- Nasolo Kapama (Tanzania) – 2.5 Milioni
- Hamisi Kazi (Tanzania) – 2.2 Milioni
- Hussein Abel (Tanzania) – 2.1 Milioni
- Devid Kameta (Tanzania) – 2 Milioni
- Husein Abel (Tanzania) – 2 Milioni
- Israel Patrick Mwenda (Tanzania) – 2 Milioni
- Ally Salim Juma (Tanzania) – 1.8 Milioni
- Farouz (Tanzania) – 1 Milioni
- Jimson Stephen Mwanuke (Tanzania) – 1 Milioni
- Hussein Hasan (Tanzania) – Kiasi hakijajulikana
- Auyoub Lakrey (Morocco) – Kiasi hakijajulikana
Makadirio haya ya mishahara yanategemea taarifa zilizokua zikivuma kipindi cha usajili na taarifa zinazopatikana hadharani. Mishahara halisi ya wachezaji inaweza kuwa juu au chini ya makadirio haya. Kwa ujumla, Simba SC inafanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa ina wachezaji bora ambao wataweza kuleta mafanikio katika msimu huu.
Makala Nyingine:
Leave a Reply