Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iii B Shule Ya Msingi,elimu Ya Awali,uraia, Historia Na Kiswahili Uliofanyika Tarehe 29/01/2025.
Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iii B Shule Ya Msingi
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
- MWALIMU DARAJA LA III B – HISTORIA (HISTORY)
- MWALIMU DARAJA LA III B – KISWAHILI
- MWALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI
- MWALIMU DARAJA LA III B – URAIA (CIVICS)
- MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU YA AWALI
Makala Nyingine:
Leave a Reply