Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025 (Kada Za Ualimu), Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu kuwa,usaili utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025 kama inavyoonekana kwenye ratiba hii.
Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025
KADA | TAREHE YA USAILI WA MCHUJO | TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO |
---|---|---|
MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS) | HAKUNA | 14 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – FIZIKIA (PHYSICS) | HAKUNA | 15 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III B – KIINGEREZA (ENGLISH) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (TEXTILE) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – KILIMO (AGRICULTURE) | HAKUNA | 16 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III B – KIFARANSA (FRENCH) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – KIFARANSA (FRENCH) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (BOOKKEEPING) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (BOOKKEEPING) | HAKUNA | 16 JANUARI, 2025 |
FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LAB TECHNICIAN II) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU MAALUM | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE) | ||
MWALIMU DARAJA LA III A – ELIMU MAALUM | ||
WALIMU WA AMALI NA BIASHARA | HAKUNA | 17 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III A | 18 JANUARI, 2025 | 21 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III A – ELIMU YA AWALI | 22 JANUARI, 2025 | 24 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III B – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – BAIOLOJIA (BIOLOGY) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – TEHAMA (ICT) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – KEMIA (CHEMISTRY) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI | 25 JANUARI, 2025 | 28 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI | 29 JANUARI, 2025 | 31 JANUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU YA AWALI | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – KISWAHILI | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – HISTORIA (HISTORY) | ||
MWALIMU DARAJA LA III B – URAIA (CIVICS) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) | 01 FEBRUARI, 2025 | 04 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – TEHAMA (ICT) | 05 FEBRUARI, 2025 | 07 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – UCHUMI (ECONOMICS) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – SHULE YA MSINGI | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – ELIMU MAALUM | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – URAIA (CIVICS) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – KILIMO (AGRICULTURE) | ||
MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) | 08 FEBRUARI, 2025 | 11 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – KEMIA (CHEMISTRY) | 12 FEBRUARI, 2025 | 14 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) | 15 FEBRUARI, 2025 | 18 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) | 19 FEBRUARI, 2025 | 21 FEBRUARI, 2025 |
MWALIMU DARAJA LA III C – BAIOLOJIA (BIOLOGY) | 22 FEBRUARI, 2025 | 24 FEBRUARI, 2025 |
PDF Nzima Hapa; https://www.ajira.go.tz/baseattachments/
Makala Nyingine:
Walioitwa kwenye usaili ualimu 2025 Walimu Mikoa Yote
Ahsante kwa taarifa nzuri lakini bado hatuoni vituo vya kufanyia usaili na tuliambiwa leo tarehe 6/01/2025 watatoa
Vipi vituo vya usahili
Sisi wa tarehe 14 sijaona ila 17 nimeona inakuaje?
Jamani bado vituo hatuvioni?
Majina ya interview somo kilimo daraja la III C siyaoni
Mimi naitwa mwalimu Masad Nurdin Mgaza, ni muhitimu wa chuo kikuu cha Dar ee salaam tangu mwaka 2010 nimeshapata cheti cha kuhitimu chuo, naomba kusaidiwa ili niwemo kwenye usaili. Masomo yangu ya kufundishia ni Biolojia na Kemia.asante
0757381740