Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TARURA 2025 Manyara kwenye PDF, interview itaanza kuanzia tarehe 24 Februari 2025 mpaka tarehe 26, Februari 2025. List ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TARURA Tanzania (waliopata kazi TARURA Ajira Mpya Manyara)
Walioitwa kwenye Usaili TARURA 2025 Manyara
Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ulianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala za Serikali Sura Na. 245 na kutangazwa rasmi kwenye Gazeti la Serikali Na. 211 la tarehe 12 Mei 2017. Wakala ulianza kufanya kazi rasmi tarehe 1 Julai 2017 na sasa Wakala umefikisha takribani miaka 5 toka kuanzishwa kwake.
Lengo Kuu la Uanzishwaji wa TARURAni kukabiliana na changamoto zilizojitokeza wakati jukumu la Menejimenti ya Mtandao wa Barabara za Wilaya lilipokuwachini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa(MSM) 184, lakini vilevile pamoja na kukabiliana na mabadiliko katika sekta ya barabara kwa nia ya kuboresha huduma na kuongeza ufanisi.
Majukumu mengine ya TARURA
ni kama yalivyoainishwa kwenye Hati ya Uanzishwaji wa Wakala Na. 211 ya Mei 2017 ikiwa ni pamoja na kupima na kufanya utafiti kuhusu vifaa vya ujenzi kupitia Kitengo cha Maabara Kuu ya Vifaa na Utafiti, kudhibiti uzito wa magari barabarani na kulinda maeneo ya hifadhi za barabara.
Aidha, Wakala hutekeleza majukumu yake kwa kuingia mikataba maalum ijulikanayo kama (Annual Performance Agreement ‘APA’) kati yake na Mfuko wa Barabara kwa kazi za matengenezo ya barabara na Ofisi ya Rais -TAMISEMI kwa kazi za miradi ya maendeleo.
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TARURA 2025 Manyara
Hapa ni PDf ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TARURA
618b8ab6-53b7-47e5-bc56-350c60fe0723
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Meneja Mkoa wa MANYARA
S.L.P: | 389, Manyara |
Simu: | 027 251 0131 |
Barua pepe: | rm.manyara@tarura.go.tz |
Postikodi: | Manyara |
Makala Nyingine:
- Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iii c Kemia
- Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI Na Ajira Portal 2025
- MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III C HISTORIA
- Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025, Matokeo ya Utumishi wa Umma, Serikalini
- Usaili Wa Walimu Daraja La Iiic – Kiswahili Kufanyika Tarehe 30 Januari, 2025 Badala Ya Terehe 28 Januari, 2025
- Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025 (Kada Za Ualimu)
Leave a Reply