List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Grammy 2025

Hii hapa ni List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Grammy 2025 (orodha hii inajumuisha wasanii waliochaguliwa kutoka Afrika na kwingine kote Duniani.

Recording Academy imetangaza orodha kamili ya wasanii walioteuliwa kwa Tuzo za Grammy za 67, ambazo zitatolewa mwaka 2025 nchini Marekani.

Wasanii kutoka Afrika na sehemu nyingine duniani wamepata nafasi ya kuwania tuzo hizi, ikiwemo katika kategoria za muziki wa Kiafrika, R&B, na nyinginezo. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya vipengele na wasanii wanaowania.

Best African Music Performance

Katika kipengele hiki, tunawaona wasanii maarufu kutoka bara la Afrika wakishindania tuzo kwa kazi zao zilizotamba mwaka huu:

  • Yemi Alade – Tomorrow
  • Asake & Wizkid – MMS
  • Chris Brown Ft Davido – Sensational
  • Burna Boy – Higher
  • Tems – Love Me Jeje

Best R&B Performance

Kipengele hiki kinatambua vipaji bora katika muziki wa R&B:

  • Guidance – Jhené Aiko
  • Residuals – Chris Brown
  • Here We Go (Uh Oh) – Coco Jones
  • Made for Me (Live on BET) – Muni Long
  • Saturn – SZA

Best R&B Album

Albamu za R&B zinazoshindania tuzo ni pamoja na:

  • 11:11 (Deluxe) – Chris Brown
  • Vantablack – Lalah Hathaway
  • Revenge – Muni Long
  • Algorithm – Lucky Daye
  • Coming Home – Usher

Best New Artist

Hii hapa orodha ya wasanii wapya wanaowania tuzo, wakionesha mafanikio yao makubwa katika muziki mwaka huu:

  • Benson Boone
  • Sabrina Carpenter
  • Doechii
  • Khruangbin
  • RAYE
  • Chappell Roan
  • Shaboozey
  • Teddy Swims

Album of the Year

Albamu zilizofanikiwa sana mwaka huu na kuwania tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka ni:

  • New Blue Sun – André 3000
  • COWBOY CARTER – Beyoncé
  • Short n’ Sweet – Sabrina Carpenter
  • BRAT – Charli XCX
  • Djesse Vol. 4 – Jacob Collier
  • HIT ME HARD AND SOFT – Billie Eilish
  • The Rise and Fall of a Midwest Princess – Chappell Roan
  • THE TORTURED POETS DEPARTMENT – Taylor Swift

Best Country Album

Katika kipengele cha Country, albamu bora zinazoshindania tuzo ni:

  • COWBOY CARTER – Beyoncé
  • F-1 Trillion – Post Malone
  • Deeper Well – Kacey Musgraves
  • Higher – Chris Stapleton
  • Whirlwind – Lainey Wilson

Orodha hii inawakilisha utofauti na ubunifu wa hali ya juu katika muziki duniani kote. Washindi wa tuzo hizi watajulikana wakati wa hafla ya Grammy ya mwaka 2025.

Makala Nyingine: