Simba Vs FC Bravos do Maquis Ni Lini Na Saa Ngapi? Novemba, 2024

Mechi ya Simba Vs FC Bravos do Maquis Ni Lini Na Saa Ngapi? Novemba, 2024 (Simba dhidi ya F.C. Bravos do Maquis Michuano ya CAF Confederation Cup) Kombe la shirikisho.

Simba Vs FC Bravos do Maquis

Akiwa ameshaachia uzi wake wa michuano ya CAF, Mnyama Simba SC, Jumatano ya Novemba 27 atakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akiwakaribisha FC Bravos kutoka Angola, ni mechi ya hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huu utapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Makala Nyingine: