Burudani

Tanzania Comedy Awards 2025; washindi wa tuzo za Wachekeshaji

Filed in Burudani by on April 16, 2025 0 Comments
Tanzania Comedy Awards 2025; washindi wa tuzo za Wachekeshaji

Tanzania Comedy Awards 2025; washindi wa tuzo za Wachekeshaji, washindi wa tuzo za comedian Tanzania, Tasnia ya vichekesho nchini Tanzania imeendelea kukua kwa kasi, ikizidi kuvutia mashabiki na wadau wa sanaa. Mwaka 2025 umeandika historia mpya kupitia Tanzania Comedy Awards, hafla ya kwanza ya aina yake nchini, iliyofanyika tarehe 22 Februari katika ukumbi wa The […]

Continue Reading »

List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Grammy 2025

Filed in Burudani by on April 16, 2025 0 Comments
List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Grammy 2025

Hii hapa ni List Ya Wasanii Wanaowania Tuzo Za Grammy 2025 (orodha hii inajumuisha wasanii waliochaguliwa kutoka Afrika na kwingine kote Duniani. Recording Academy imetangaza orodha kamili ya wasanii walioteuliwa kwa Tuzo za Grammy za 67, ambazo zitatolewa mwaka 2025 nchini Marekani. Wasanii kutoka Afrika na sehemu nyingine duniani wamepata nafasi ya kuwania tuzo hizi, […]

Continue Reading »

Mtandao wa Kasi ya Juu, Programu za Simu, Malipo Mtandaoni: Jinsi Makampuni ya Ku-bet Yanavyochangia Kidijitali Barani Afrika

Filed in Burudani by on April 16, 2025 0 Comments
Mtandao wa Kasi ya Juu, Programu za Simu, Malipo Mtandaoni: Jinsi Makampuni ya Ku-bet Yanavyochangia Kidijitali Barani Afrika

Digitali inaendeshwa na muktadha wa kipekee katika kila bara. Katika sehemu kadhaa, kampuni za teknolojia zimekuwa chachu ya mabadiliko kutoka teknolojia za analojia kwenda kidijitali, huku maeneo mengine huduma za mtandaoni zikichukua nafasi kubwa. Hata hivyo, barani Afrika, nafasi hii imechukuliwa na makampuni ya kamari. Kukosekana kwa miundombinu ya kisasa ya benki kumepelekea kampuni hizi […]

Continue Reading »

Tuzo za TMA Tanzania 2024

Filed in Burudani by on April 16, 2025 0 Comments
Tuzo za TMA Tanzania 2024

Mwaka huu, tuzo za muziki za Tanzania (TMA) TANZANIA MUSIC AWARDS (TMA) zinarudi kwa kishindo huku tukishuhudia vipengele vingi na wasanii wenye vipaji wakipambana kuwania heshima na utambuzi. Septemba 3, 2024, dirisha la kuwapigia kura wasanii lilifunguliwa rasmi. Tuzo hizi zinatarajiwa kutolewa Septemba 29, 2024, huku dirisha hilo likifungwa siku moja kabla, Septemba 28. Zifuatazo […]

Continue Reading »

Jinsi ya Kupiga Kura Tuzo za Muziki TMA

Filed in Burudani by on April 16, 2025 0 Comments
Jinsi ya Kupiga Kura Tuzo za Muziki TMA

Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) ni moja ya hafla zinazotambulika sana katika kusherehekea vipaji vya muziki nchini Tanzania. Mwaka huu wa 2024, mashabiki wana nafasi ya kushiriki moja kwa moja katika kuchagua washindi wa tuzo hizi. Kupiga kura ni njia ya kuonyesha upendo na msaada wako kwa wasanii unaowapenda. Kwa hivyo, ni muhimu kuelewa vizuri […]

Continue Reading »