Ajira Mpya za Walimu 2025/2026 Ajira Portal kutoka MDAs & LGAs

Hapa Ni Ajira Mpya za Walimu 2025/2026 Ajira Portal kutoka MDAs & LGAs, Utapata orodha ya Nafasi za Kazi Mpya za Walimu zilizotangazwa Kupitia Ajira portal mwezi February, 2025. Nafasi 1571: Ajira Mpya za Walimu 2025 Masomo Mbalimbali MDAs & LGAs PDF na Online.

Ajira  za Walimu 2025/2026

Waombaji wa fursa za Ajira mnatakiwa kuhuisha (Update) taarifa zenu kwa kutumia namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), kwenye eneo ya Personal Details, aidha mnatakiwa kuhuisha taarifa kwenye eneo la Academic Qualification kwa kuweka kozi yako kwenye Category husika.

Ili kuona ‘STATUS’ ya maombi yako ya kazi, ingia sehemu ya ‘MY APPLICATION’ baada ya ku-‘login’ katika akaunti yako. Sehemu hii itakuwezesha kuona namba ya usaili kwa wale waliofanikiwa na sababu ya kutokuitwa kwa wale ambao hawajafanikiwa.

Nafasi Za Kazi Zilizotangazwa

Available Job Vacancies