Walimu Walioitwa Kazini 2026/2027 Kupitia Ajira Portal

Majina ya Walimu Walioitwa Kazini 2026/2027 Kupitia Ajira Portal  (orodha na list ya majina kwenye PDF walioajiriwa 2026 na vituo vyao vya kazi) Majina ya walimu waliopata kazi 2026 MAJINAYA WALIOITWA KAZINI WALIMU KADA ZA UALIMU.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili  kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Majina ya Walimu Walioitwa Kazini 2026

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite
kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:-

  • Kitambulisho cha Uraia,
  • Hati ya kusafiria,
  • Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi,
  • Kitambulisho cha Mpiga kura au
  • Leseni ya Udereva.

https://www.ajira.go.tz/

Walioitwa kwenye usaili ualimu 2026 Walimu Mikoa Yote

Orodha Ya Majina Kamili:

https://www.ajira.go.tz/