Matokeo, Kikosi cha Yanga VS Tabora united Leo April, 02, 2025 Yanga Vs Tabora United Live Score Stream Results. Kutoka uwanja wa nyumbani wa Tabora United Kwenye Michuano Ya Mashindano ya Ligi kuu NBC Tanzania Bara 2024/25.
Tabora united dhidi ya Yanga (Taboraย Vs Yanga)
Big match, Saa 10:15 jioni Tabora United watakuwa dimba la Ali Hassan Mwinyi wakiwakaribisha Yanga SC
Katika mzunguko wa kwanza Yanga akiwa nyumbani alipoteza kwa Tabora United.
Je, Tabora United kuendeleza ubabe ama Wananchi Yanga SC kulipa kisasi?
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Yanga VS Tabora united Leo April
๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ฐ
๐ย #nbcpremierleague
โฝ๏ธ Tabora United๐Young Africans SC
๐ 02.04.2025
๐ Ali Hassan Mwinyi
๐ 10:15 Jioni
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Kikosi cha Yanga VS Tabora united Leo 02/04/2025
Kikosi kinachoanza dhidi ya Tabora United๐ฐ๐ช๐ฝ
Kikosi cha Tabora united Leo Vs Yanga VSย 02/04/2025
Kikosi cha timu yetu kinachoanza katika mchezo wetu wa leo dhidi yaย @yangascย . Dua njema kwa wapambanaji wetuย @taborautd.fc๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Matokeo Ya Tabora United Vs Yanga Leo
Live Matokeo Hapa Tabora United โ Young Africans Sport Club
Tabora United inamenyana na Young Africans Sport Club kuanzia tarehe 2 Apr 2025 saa 13:15 UTC. Mechi hiyo ni sehemu ya Ligi Kuu.
Tabora United ilicheza na Young Africans Sport Club katika mechi 1 msimu huu. Kwa sasa, Tabora United inashika nafasi ya 5, huku Young Africans Sport Club ikishika nafasi ya 1.
Makala Nyingine;
Tuachie Maoni Yako