Kwenye makala hii utapata orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye usaili ualimu 2025 Mikoa Yote Tanzania Kuhusu usaili wa Walimu unaotarajiwa kuanza January, 14. Majina ya waliochaguliwa na Walioitwa kwenye usaili ualimu 2025 download PDF kwa ajili ya kupita ata ukiwa offline.
Usaili ualimu 2025 Mikoa Yote
Mambo Muhimu ya Kuzingatia
- Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
- Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapousaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.
- Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)
- Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
=>Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpigakura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua yautambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.
=>Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI,Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa zaMwombaji. 6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatizamatokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NAHAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.
- Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.
- Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.
=>Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa naMamlaka husika (kama TCU, NACTE au NECTA)
=>Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa hawakukidhivigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji yatangazo husika.
=>Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyetivyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
=>Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili nambaya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa siku ya usaili.
Hii sio haki kabisa nimefanya maombi ya ajira kada ya ualimu ngazi ya ufungaji wa umeme wa jua ila Cha ajabu majibu sijachaguliwa ayapo kwenye account yangu ya ajira portal lakini majina yametoka watu wameitwa kwenye interview je nilikuwa nataka kujua ayo majina ya watu walioitwa kwenye interview ngazi solar installation wameyatowa wap