Majina ya walioitwa kwenye Usaili (interview) Jeshi la Zimamoto 2025 PDF, Nammes Call for interview Zimamoto 2025 Call for Job Interview at Zimamoto, 2025. WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025.
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI 2025
Wliochaguliwa, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anayo furaha kukujulisha/Kuwajulisha kuwa umechaguliwa kwenye orodha ya walioteuliwa (SHORTLISTED) kwa nafasi uliyotuma maombi.
TAREHE NA MAHALI PA USAILI
Kundi la Waombaji | Tarehe ya Usaili | Mahali pa Usaili |
---|---|---|
Waombaji wa ngazi ya Kidato cha Nne | 5 Aprili, 2025 | Ofisi za Kanda za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji |
Waombaji wa Taaluma Maalum (Professional Cadres) | 14 Aprili, 2025 | Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Dodoma |
NYARAKA MUHIMU ZA KUJA NAZO
Unatakiwa kuja na nyaraka halisi ulizotumia wakati wa kutuma maombi ya kazi, kama ifuatavyo:
Vyeti vya kitaaluma
Vyeti vya taaluma
Cheti cha kuzaliwa
Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Namba ya NIDA (NIN)
Barua ya utambulisho
Barua ya maombi ya kazi iliyoandikwa kwa mkono
MAELEKEZO MUHIMU
- Unakumbushwa kuvaa mavazi ambayo hayatazuia kukimbia.
- Tafadhali tembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii kwa taarifa zaidi kuhusu mchakato wa ajira na tarehe yako ya usaili (kwa waombaji wa Taaluma Maalum pekee).
- Majina ya walioitwa kwenye usaili yatatangazwa muda si mrefu, endelea kuwa nasi.
PDF Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto 2025
Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025.
ORODHA-YA-USAILI-TA8ALUMA-MBALIMBALI-MACH-30-2025-CPR
KUITWA-KWENYE-USAILI-KIDATO-CHA-NNE-ZIMAMOTO-NA-UOKOAJI-
Makala Nyingine:
- Mfumo wa maombi ya ajira zimamoto (ajira.zimamoto.go.tz)
- Nafasi za Kazi Zimamoto 2025 ajira Jinsi Ya Kutuma Maombi
- Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto 2025/2026 Tangazo la ajira zimamoto 2025 pdf
- Fomu ya Uchunguzi wa Afya (PDF)
- NAFASI ZA KAZI JESHI LA POLISI TANZANIA 2025/2026 AJIRA
- Nafasi za kazi Jeshi la polisi 2025 Ajira Mpya (Tangazo)
- Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Jeshi la Polisi (Sample)
Wakuu tunaomba mtusaidie kutuma màjina kwa njia ya PDF ili kuwezeshà kuyapata kwa uharaka
Amani Mbewe
Zimamoto
My name of fire
Good
Kingdom Nsajigwa