Vyuo Vya VETA Tanzania Orodha na List Kamili

Vyuo Vya VETA Tanzania Orodha na List Kamili, VYUO VYA VETA vya serikali Dar es salaam, Dodoma, Arusha, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro, Kagera, Mbeya Na Mikoa Mingine. Vyuo Vya VETA na Kozi Zake  Kwa Ujumla Hapa Tanzania.

Vyuo Vya VETA Tanzania

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni Wakala wa Serikali inayojitegemea iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Sura ya 82 yenye majukumu ya kutoa, kufadhili na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini.

Orodha na List Kamili ya VYUO VYA VETA

Hii hapa orodha kamili ya vyuo vya VETA nchini Tanzania

Na. MKOA JINA LA CHUO
1 ARUSHA Arusha VTC
VETA Hotel and Tourism Training Institute (VHTTI)
Ngorongoro DVTC
Longido DVTC
Monduli DVTC
2 DAR ES SALAAM Kipawa ICT Centre
DSM RVTSC
3 DODOMA Dodoma RVTCS
Chemba DVTC
Bahi DVTC
Kongwa DVTC
4 GEITA Geita RVTSC
Chato DVTC
5 IRINGA Iringa RVTSC
Iringa DVTC
6 KAGERA Karagwe DVTC
Ndolage VTC
Kagera RVTSC
Kagera VTC
7 KATAVI Mpanda VTC
8 KIGOMA Kigoma RVTCS
Kasulu DVTC
Nyamidaho VTC
Uvinza DVTC
Buhigwe DVTC
9 KILIMANJARO Moshi RVTSC
10 LINDI Ruangwa DVTC
Lindi RVTSC
11 MANYARA Manyara RVTSC
Gorowa DVTC
Simanjiro VTC
12 MARA Butiama DVTC
Mara VTC
13 MBEYA Chunya DVTC
Busekelo DVTC
Mbeya RVSTC
Mbarali DVTC
14 MOROGORO Dakawa VTC
Morogoro Vocational Teachers Training College (MVTTC)
Kihonda RVTSC
Ulanga DVTC
Mikumi VTC
15 MTWARA Kitagari DVTC
Mtwara RVTSC
Masasi DVTC
16 MWANZA Mwanza RVTSC
Kwimba DVTC
Ukerewe DVTC
17 NJOMBE Njombe RVTSC
Wanging’ombe DVTC
Makete VTC
18 PWANI Rufiji DVTC
Mafia DVTC
Pwani RVSTC
19 RUKWA Rukwa RVTSC
Nkasi DVTC
20 RUVUMA Namtumbo DVTC
Nyasa DVTC
Songea VTC
21 SHINYANGA Kishapu DVTC
Shinyanga VTC
22 SIMIYU Simiyu RVTSC
Kanadi VTC
23 SINGIDA Singida VTC
Ikungi DVTC
24 SONGWE Ileje DVTC
25 TABORA Ulyankulu VTC
Igunga DVTC
Uyui DVTC
Tabora RVTSC
Urambo DVTC
26 TANGA Tanga RVTSC
Mkinga DVTC
Pangani DVTC
Korogwe DVTC
Kilindi DVTC
Mabalanga VTC
Lushoto DVTC

Mawasiliano Ya VETA na Namba Zao za Simu

Wasiliana Nasi

IJUE IKULU,

12 Barabara ya VETA.

41104 Tambukareli,

P.O. BOX 802, Dodoma Tanzania,

Barua pepe: info@veta.go.tz

Simu: +255 26 2963661

Faksi: +255 22 2863408

Url: www.veta.go.tz

Makala Nyingine:

Nafasi 8000 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali VETA

Matokeo Ya VETA 2024/2025 Mitihani Ya CBA

Nafasi Za Kazi Kutoka VETA 2024 Ajira Mpya