Vituo Vya Kufanyia Usaili Kada Za Ualimu 2025

Vituo Vya Kufanyia Usaili Kada Za Ualimu 2025, Wasailiwa wote wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Kila msailiwa anapaswa kuja na vyeti halisi vya kitaaluma na transcript pamoja na  cheti cha kuzaliwa.

Kila msailiwa anapaswa kuwa na namba yake ya usaili aliyotumiwa kwenye akaunti yake ya ajira portal

Kwa wale ambao majina yao yanatofautiana katika vyeti, wanapaswa kuwa na hati za kiapo (Deed Poll) ili kuthibitisha majina yao na vyeti husika.

Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho halisi kwa ajili ya utambuzi, vitambulisho vinavyotambuliwa ni pamoja na Kitambulisho cha Taifa (NIDA); Hati ya Kusafiria; Leseni ya Udereva; Kitambulisho cha Mpiga Kura; Kitambulisho cha Mkaazi; Kitambulisho cha Kazi; au Barua ya Utambulisho kutoka ofisi ya Serikali ya Mtaa unaoishi au Shehia.

List au orodha ya Ya VITUO VYA KUFANYIA USAILI KADA ZA UALIMU 2025

VITUO_VYA_KUFANYIA_USAILI_KADA_ZA_UALIMU-2025

Makala Nyingine:

Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025 (Kada Za Ualimu)

Taarifa Kuhusu Usaili wa walimu 2025 (Kada Za Ualimu)