Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga) Na vilabu vingine kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara inayotarajia kumalizika may, 2025. Tetesi za usajili yanga dirisha dogo 2025
Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara
Vilabu: Simba SC, Young Africans SC, na Vilabu Vingine vya Ligi Kuu ya NBC
Tetesi za Usajili wa Wachezaji (Simba SC na Yanga SC)
# | Jina la Mchezaji | Klabu Anayotakiwa | Kumbukumbu Maalum |
---|---|---|---|
1 | Kelvin Nashon | Young Africans | Kiungo mkabaji. |
2 | Foday Trawally | Kuachwa Simba SC | Kiungo mshambuliaji. |
3 | Larry Bwalya | Singida Black Stars, Pamba Jiji | Kiungo wa kati. |
4 | Harvey Onoya | Young Africans | Kiungo raia wa DRC. |
5 | Bruno Gomez | Singida Black Stars | Uwezekano wa kurejea. |
6 | Mchezaji wa Singida B. Stars | Young Africans | Uwezekano wa mkopo/makubaliano maalum. |
7 | Kibwana Shomary | KMC | Kwa mkopo. |
8 | Lameck Elias Lawi | Simba, Yanga, Azam | Beki anayetafutwa sana. |
9 | Fredy Michael Koublan | Young Africans | – |
10 | Abdelhay Forsy | Simba SC | – |
11 | Sabri Kondo | Simba SC | – |
12 | Charles Senfuko | Simba SC | – |
13 | Salim Mwalimu | Azam FC | – |
14 | Kambou Dramane | Simba, Yanga | – |
15 | Ibrahima Seck | Simba SC | – |
16 | Ayoub Lakred | Raja Casablanca, JS Kabylie | Uwezekano wa kuondoka Simba SC dirisha dogo. |
17 | Fahad Bayo | Young Africans | Striker raia wa Uganda. |
18 | Mamadou Koita | Young Africans | Kiungo raia wa Mali. |
19 | Jonathan Ikangalombo | Young Africans | Winga wa AS Vita. |
20 | Kevin Nashon | Young Africans | Kiungo mkabaji kutoka Singida Black Stars. |
21 | Israel Mwenda | Young Africans | – |
22 | Micky Harvey Ossete | Young Africans | – |
23 | Lameck Lawi | Young Africans | Changamoto za usajili kutoka Coastal Union. |
24 | Clement Mzize | Wydad, Al Ittihad (Libya) | – |
25 | Imourane Hasane | Simba SC | – |
26 | Allan Okello | Simba SC | – |
27 | Stephen Amankona | Simba SC | – |
28 | Aishi Manula | Azam FC | Uwezekano wa kuuzwa Azam FC. |
Tetesi za Usajili wa Makocha
Jina la Kocha | Klabu Anayotakiwa | Kumbukumbu Maalum |
---|---|---|
Abdelhamid Moalin | Young Africans | Atakuwa kocha msaidizi wa Young Africans. |
Sead Ramovic/Kheireddine Madoui | Young Africans | Uwezekano wa kuchukua nafasi ya Miguel Gamond. |
Miguel Gamond | JS Kabylie | Anaweza kuelekea Algeria na msaidizi wake. |
Tetesi Nyingine
Yanga SC inaweza kufanikisha usajili wa wachezaji wa Singida Black Stars kama sehemu ya makubaliano maalumu.
Mashabiki wa Gamond wajiandae kuhamia Singida Black Stars.
Max Nzengeli nje kwa wiki mbili, Djigui Diara nje wiki sita, na Clatous Chama atarejea baada ya wiki mbili hadi tatu.
Tafadhali endelea kufuatilia habari zaidi kadri tetesi na usajili unavyothibitishwa.
Makala Nyingine:
- Mishahara ya Wachezaji wa Yanga SC 2024/2025 Makadirio
- Msimamo wa kundi A la Yanga CAF 2024/2025 Club Bingwa
- Jezi Mpya Za Yanga Kimataifa 2024/2025 (Picha na Mwonekano)
- Kikosi cha Yanga 2024/25 (Majina Ya Wachezaji Wote)
- Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2025/2026 Makadirio
- Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara
Leave a Reply