Tazama Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024
Tazama Matokeo ya darasa la Saba 2024/2025 psle-2024/2025 examination results, Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.
Aidha, imeeleza kuwa kwa mwaka huu wa masomo 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.
Matokeo ya darasa la Saba
Matokeo ya darasa la Saba 2024/2025
Tags: Darasa la Saba