TANGAZO LA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA NGAZI YA TATU KWA MWAKA 2026

Fomu ya maombi ya kujiunga na Mafunzo ya Ufundi Stadi – Ngazi ya Tatu (Level III) kwa mwaka 2026
Waombaji wote wanaotaka kujiunga na mafunzo hayo wanahimizwa kujaza fomu hiyo mapema kabla ya tarehe ya mwisho ya uwasilishaji.
Ili kupakua fomu ya maombi, gusa hapa.





Tuachie Maoni Yako