Tangazo La Kuitwa Kazini Wizara Ya Afya Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 15, 2025 0 Comments

TANGAZO LA KUITWA KAZINI – UTUMISHI WA UMMA
Tarehe: 13 Juni 2025
Kumb. Na: JA.9/18/01″C”/117

Maelekezo kwa Walioitwa Kazini:

  1. Barua za kupangiwa vituo vya kazi zinapatikana kupitia akaunti ya Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications.

  2. Waombaji waliopangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kupakua (download) na kuchapisha (print) barua hizo.

  3. Wataripoti kwa Mwajiri waliyeelekezwa wakiwa na vyeti halisi vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

  4. Walioitwa kazini wanapaswa kuripoti ndani ya muda uliowekwa kwenye barua ya kupangiwa kituo.

  5. Majina yasiyoonekana kwenye tangazo hili ni ya waliofaulu.

Majina ya Walioitwa Kazini:

Wizara ya Afya – Medical Officer II:

  • ABDALLAH HASSAN ABDALLAH

  • ABUU SHABANI KISUMUNI

  • ADAM PASTORY MONDEA

  • AGNES APOLINARY KIMARIO

  • ALFRED GAME PIUS

  • …na wengine zaidi ya 180

Nursing Officer II:

  • ABDULAZIZ ABDALLAH NASSORO

  • AISHATH BYELA ABDU

  • ASHA HASHIM MTWANGE

  • AVELINO RAPHAEL BURRA

  • CHARLES MOSSES OTIENO

  • …na wengine zaidi ya 30

PDF TANGAZO LA KUITWA KAZINI WIZARA YA AFYA 

Tangazo hili limetolewa na:
Katibu, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Makala Nyingine:

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.