Tag: Wilaya Ya Newala
Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Newala Juni, 2025

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALA 13-06-2025, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Newala anapenda kuwataarifu waombaji wote wa nafasi ya kazi kuwa usaili kwa kada ya Dereva Daraja la II utafanyika kuanzia 19 hadi 21 Juni 2025. TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI – HALMASHAURI YA WILAYA YA NEWALATarehe: 13 […]