Tag: Wilaya Ya Kongwa
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Kongwa Juni, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kujaza nafasi za ajira mpya baada ya kupokea kibali cha ajira Kumb. Na. FA.87/97/01/99 cha tarehe 15 Mei 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II […]