Tag: Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 21, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Sikonge Juni, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi za ajira mpya baada ya kupokea kibali Kumb. Na. FA.97/288/01/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – […]

Continue Reading »