Tag: Halmashauri Ya Wilaya Ya Ikungi

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ikungi Juni, 2025

Filed in Ajira by on June 21, 2025 0 Comments
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Ikungi Juni, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa kujaza nafasi za ajira mpya kufuatia kibali cha ajira Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. 1.0 MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI […]

Continue Reading »