Hivi Hapa Viingilio vya SIMBA DAY 2024, afisa habari wa klabu ya Simba ametangaza rasmi viingilio mbalimbali kwa ajili ya sherehe za SIMBA DAY 2024, katika uzinduzi wa wiki ya wenye nchi. Sherehe hizi ni fursa nzuri kwa mashabiki wa Simba kuungana na kusherehekea mafanikio ya klabu yetu.
Hivi Hapa Viingilio vya SIMBA DAY 2024
Je, Umependa?
Love0
Sad0
Happy0
Tuachie Maoni Yako