Matokeo, Kikosi Cha Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025 Saa Ngapi?

Hapa ni Matokeo, Kikosi Cha Simba vs  Singida Fountain Gate Leo 06 Februari 2025 ni Saa Ngapi? Fountain Gate Vs Simba Live Stream Results.

Fountain Gate itapambana na Simba SC kuanzia tarehe 6 Feb 2025 saa 10:15 EAT. Mechi hiyo ni sehemu ya Ligi Kuu.

Soma Zaidi: Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara

Kikosi Cha Simba vs Fountain Gate Leo

Fountain Gate ilicheza dhidi ya Simba SC katika mechi 1 msimu huu. Kwa sasa, Fountain Gate inashika nafasi ya 6, huku Simba SC ikishika nafasi ya 2 kwa Muda huu ikishida leo inaweza rudi kileleni.

Simba vs  Singida Fountain Gate Leo

Taarifa
Ligi NBC Premier League
Timu Fountain Gate vs Simba Sc
Tarehe 06 Februari 2025
Uwanja Tanzanite Kwara, Manyara
Muda Saa 10:15 Jioni (EAT)

Matokeo ya Mechi ya Simba vs Fountain Gate

Matokeo ya Live Stream Results angalia Hapa; Simba vs  Singida Fountain Gate

Makala Nyingine:

  1. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025 Vinara Wa Magoli
  2. Jezi Mpya Za Simba Kimataifa 2024/2025 (Picha na Mwonekano)
  3. Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)
  4. Matokeo ya simba vs Tabora united Leo 2 February 2025
  5. Matokeo, Kikosi Cha Simba VS Bravos do Maquis Leo 12 Januari 2025 Saa Ngapi?
  6. Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF