Matokeo, Kikosi cha Simba Vs Al Masry Leo April 9, 2025

Matokeo, Kikosi cha Simba Vs Al Masry Leo April 9, 2025 (Mechi Ya Simba Vs Al Masry Live Stream Results) Katika Uwanja wa Mkapa leo Hapatoshi, Je, Mechi Hii itachezwa Saa ngapi? katika makala hii tutachambua kwa kina kila kitu unachopaswa kujua.

Huu ni Mchezo wa Kufuzu kwenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF confederetion CUP 2025

Simba Vs Al Masry Leo

Mnyama anakuambia “Hii anavuka”

LEO, Simba SC yupo dimba la Benjamin Mkapa akiwa na lengo moja tu kupata ushindi dhidi ya Al Masry kutoka Misri, mechi ya marudiano robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika.

Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#SimbaSC #CAFCC #Azamtvsports

Kikosi Cha Simba Dhidi Ya Al Masry

Kikosi cha leo. #TotalEnergiesCAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja

Matokeo Ya Simba Vs Al Masry

Simba Vs Al Masry Leo April 9, 2025 (Mechi Ya Simba Vs Al Masry Live Stream

Simba SC vs Al-Masry live score, H2H and lineups

Kombe la Shirikisho la CAF , linalojulikana kama Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF kwa madhumuni ya udhamini, ni mashindano ya kila mwaka ya vilabu vya kandanda yaliyoanzishwa mnamo 2004 kutokana na kuunganishwa kwa Kombe la CAF na Kombe la Washindi wa Kombe la Afrika na kuandaliwa na CAF . [ 1 ]

Vilabu vinafuzu kwa mashindano kulingana na utendaji wao katika ligi zao za kitaifa na mashindano ya vikombe. Ni shindano la daraja la pili la kandanda ya vilabu barani Afrika, likiwa chini ya Ligi ya Mabingwa ya CAF . Mshindi wa michuano hiyo atakutana na mshindi wa shindano lililotajwa hapo juu katika msimu unaofuata wa CAF Super Cup .

Vilabu vya Morocco vina idadi kubwa zaidi ya ushindi (mataji saba), ikifuatiwa na Tunisia yenye matano. Morocco ndiyo inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya timu zilizoshinda huku klabu tano zikiwa zimeshinda taji hilo.

Mashindano hayo yamechukuliwa na vilabu 13, tano kati ya hivyo vimeshinda zaidi ya mara moja. Klabu ya Sfaxien ndiyo klabu yenye mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mashindano hayo, ikiwa imeshinda mashindano hayo mara tatu. Zamalek ndio mabingwa watetezi wa sasa, baada ya kuifunga RS Berkane katika fainali ya 2024 .

Makala Nyingine:

  1. Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF
  2. Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)
  3. Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF 2025
  4. Derby Ya Kariakoo: Simba VS Yanga Patachimbika
  5. Matokeo, Kikosi cha Simba Vs TMA Stars Leo 11 Machi, 2025
  6. Vilabu 10 bora Afrika 2024/2025 Viwango Vya CAF