Matokeo, Kikosi Cha Simba SC VS Singida Black Stars Leo 28 Disemba 2024 Saa Ngapi?

Mchanganuo wa Matokeo, Kikosi Cha Simba SC VS Singida Black Stars Leo 28 Disemba 2024 Saa Ngapi?. patakuwa hapatoshi uwanja wa CCM Liti – Singida Leo Jumamosi Singida Black Stars BS VS Simba watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa ligi Kuu Ya NBC Tanzania Bara.

Singida Black Stars Vs Simba SC Leo

Singida Black Stars 🆚 Simba SC

🗓️Jumamosi 28/12/2024
🕑 10:00 Jioni
🏟️ CCM Liti – Singida
🏆 NBC Premier League

Mechi hii itachezwa saa Ngapi?

Mechi ya Simba dhidi ya Singida Black Stars BS itachezwa leo jumamosi 28/12/2024 Majira ya saa 10:00 Jioni Uwanja wa CCM Liti – Singida.

Kikosi Cha Simba SC Vs Singida Black Stars

Kikosi Cha Singida Black Stars Vs Simba SC

Tiketi na Viingilio

Tiketi za Mechi zinapatikana kupitia @ncard_tanzania na mawakala wote wa NBC Bank na TTCL.

Pia unaweza kununua kwa simu yako ya mkononi kwa mitandao ya Airtel, Tigo, Vodacom na Halotel.

Matokeo Ya Mechi Ya Simba VS Singida BS

Singida Black Stars SC – Simba SC
0 – 1

Makala Nyingine: