Matokeo, Kikosi Cha Simba SC VS CS Sfaxien Leo 05 Januari 2025 Saa Ngapi? Patakuwa hapatoshi Viwanjani Leo Jumapili CS Sfaxien VS Simba SC watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa CAF Confederation Cup kwenye Msimamo Wa Kundi A Shirikisho.
Simba SC VS CS Sfaxien Leo 05 Januari 2025
🗓️Jumapilu 05/01/2025
🕑 1:00 Jioni
🏟️ Algeria
🏆 CAF Confederation Cup 2025
Mechi hii itachezwa saa Ngapi?
Mechi ya Simba dhidi ya CS Sfaxien itachezwa leo jumapili 05/01/2025 Majira ya saa 1:00 Jioni.
Mnyama Simba SC, Jumapili hii yupo jijini Tunis, nchini Tunisia akicheza na CS Sfaxien mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika, Kundi A.
Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na kumbukumbu nzuri ya kushinda mechi iliyopita.
Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Matokeo Ya Mechi Ya Simba VS CS Sfaxien
Kikosi Cha Simba VS CS Sfaxien
Makala Nyingine:
Leave a Reply