Hapa Utapata Matokeo, Kikosi cha Simba SC VS Azam FC Leo Feb 24, 2025, Simba Vs Azam Live Stream results live score today, Simba vs azam live score today premier league (Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara) Simba vs azam live score today football. MZIZIMA DERBY
Simba SC inamenyana na Azam FC kuanzia tarehe 24 Feb 2025 saa 19 :00 UTC. Mechi hiyo ni sehemu ya Ligi Kuu.
Simba SC ilicheza na Azam FC katika mechi 1 msimu huu. Kwa sasa, Simba SC inashika nafasi ya 2, huku Azam FC ikishika nafasi ya 3.
Simba SC VS Azam FC Leo MZIZIMA DERBY
LEO katika NBC Premier League inapigwa Mzizima Derby.
Simba SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha AzamFC.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.
Je, Mnyama kuendelea kukusanya alama tatu ama kupunguzwa kasi na matajiri wa Chamazi?
MZIZIMA DERBY
MZIZIMA DERBY | Hadi sasa Simba imefunga magoli 41 na kuruhusu sita… wakati Azam FC ikiwa imefunga magoli 29 na kuruhusu tisa..
Je, leo nani atagusa nyavu za mwenzake???
Hiki ndicho ilichovuna kila timu hadi sasa kwenye ligi msimu huu..
N Simba SC vs Azam FC saa 1:00 usiku LIVEÂ #AzamSports1HD
Takwimu Za Simba VS Azam
Matokeo Ya Simba Vs Azam FC
FT’ Simba SC 2 – 2 Azam FC (LIVE from Benjamin Mkapa Stadium, Dar Es Salaam)
Simba SC 2-2 Azam FC
Tazama Hapa Matokeo ya Simba dhidi ya Azam FC
Makala Nyingine:
- Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Bara
- Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF 2025
- Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania
- Matokeo, Kikosi Cha Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025 Saa Ngapi?
- Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF
- Jezi Mpya Za Simba Kimataifa 2024/2025 (Picha na Mwonekano)
Leave a Reply