Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025 (Kaza Za Ualimu)

Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025 (Kaza Za Ualimu), Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwatangazia waombaji kazi wote wa Kada za Ualimu kuwa,usaili utafanyika kuanzia terehe 14 Januari, 2025 mpaka tarehe 24 Februari, 2025 kama inavyoonekana kwenye ratiba hii.

Ratiba Ya Usaili wa Walimu 2025

KADA TAREHE YA USAILI WA MCHUJO TAREHE YA USAILI WA MAHOJIANO
MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS) HAKUNA 14 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – HISABATI (MATHEMATICS)
MWALIMU DARAJA LA III C – FIZIKIA (PHYSICS)
MWALIMU DARAJA LA III B – FIZIKIA (PHYSICS) HAKUNA 15 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III B – KIINGEREZA (ENGLISH)
MWALIMU DARAJA LA III B – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE)
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA USHONAJI (TEXTILE)
MWALIMU DARAJA LA III B – KILIMO (AGRICULTURE) HAKUNA 16 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III B – KIFARANSA (FRENCH)
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA LISHE (FOOD AND HUMAN NUTRITION)
MWALIMU DARAJA LA III C – KIFARANSA (FRENCH)
MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (BOOKKEEPING)
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (BOOKKEEPING) HAKUNA 16 JANUARI, 2025
FUNDI SANIFU MAABARA YA SHULE DARAJA LA II (SCHOOL LAB TECHNICIAN II)
MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE)
MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU MAALUM
MWALIMU DARAJA LA III C – SOMO LA BIASHARA (COMMERCE)
MWALIMU DARAJA LA III A – ELIMU MAALUM
WALIMU WA AMALI NA BIASHARA HAKUNA 17 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III A 18 JANUARI, 2025 21 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III A – ELIMU YA AWALI 22 JANUARI, 2025 24 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III B – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY)
MWALIMU DARAJA LA III B – BAIOLOJIA (BIOLOGY)
MWALIMU DARAJA LA III B – TEHAMA (ICT)
MWALIMU DARAJA LA III B – KEMIA (CHEMISTRY)
MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI 25 JANUARI, 2025 28 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III B – SHULE YA MSINGI 29 JANUARI, 2025 31 JANUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III B – ELIMU YA AWALI
MWALIMU DARAJA LA III B – KISWAHILI
MWALIMU DARAJA LA III B – HISTORIA (HISTORY)
MWALIMU DARAJA LA III B – URAIA (CIVICS)
MWALIMU DARAJA LA III C – JIOGRAFIA (GEOGRAPHY) 01 FEBRUARI, 2025 04 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – TEHAMA (ICT) 05 FEBRUARI, 2025 07 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – UCHUMI (ECONOMICS)
MWALIMU DARAJA LA III C – SHULE YA MSINGI
MWALIMU DARAJA LA III C – ELIMU MAALUM
MWALIMU DARAJA LA III C – URAIA (CIVICS)
MWALIMU DARAJA LA III C – KILIMO (AGRICULTURE)
MWALIMU DARAJA LA III C – HISTORIA (HISTORY) 08 FEBRUARI, 2025 11 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – KEMIA (CHEMISTRY) 12 FEBRUARI, 2025 14 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – KIINGEREZA (ENGLISH) 15 FEBRUARI, 2025 18 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – FASIHI YA KIINGEREZA (ENGLISH LITERATURE) 19 FEBRUARI, 2025 21 FEBRUARI, 2025
MWALIMU DARAJA LA III C – BAIOLOJIA (BIOLOGY) 22 FEBRUARI, 2025 24 FEBRUARI, 2025

PDF Nzima Hapa; https://www.ajira.go.tz/baseattachments/

Makala Nyingine: