Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF 2025

Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF 2024/2025, Simba itacheza na timu gani kwenye Robo fainali ya  kombe la shirikisho 2025/2026 CAF Watangaza Droo ya ROBO FAINALI Ya CAF Confederation Cup. 

Ratiba ya Simba Robo Fainali Shirikisho CAF

Ratiba ya mechi za Simba SC mwezi Aprili,2025 kwenye Michuano ya kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali.

02/04/2025 | Al Masry 🆚 Simba SC
09/04/2025 | Simba SC 🆚 Al Masry

Wekundu wa Msimbazi Simba SC leo wamepangwa kucheza dhidi ya Al Masry ya Misri katika mchezo wao wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Simba wamepangwa na Al Masry baada ya kuchezeshwa droo leo nchini Qatar.

Kauli Ya Simba

Mpinzani wetu wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ni Al Masry SC ya Misri. #TotalEnergiesCAFCC  #WenyeNchi #NguvuMoja

Makala Nyingine:

  1. Ratiba ya Mechi za Simba Ligi Kuu Ya NBC 2024/2025 Tanzania
  2. Matokeo, Kikosi Cha Simba vs Fountain Gate Leo 06 Februari 2025 Saa Ngapi?
  3. Matokeo ya simba vs Tabora united Leo 2 February 2025
  4. Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF
  5. Tetesi za usajili Dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025 (Simba Na Yanga)
  6. Ratiba Ya Simba Kombe la Shirikisho 2024/2025 CAF Confederation Cup
  7. Kikosi Cha Simba 2024/2025 Majina Ya Wachezaji Wote