Ratiba ya Mtihani Kidato Cha Pili 2025 NECTA, Kwenye Makala Hii Utapata Ratiba Mitihani ya NECTA Kidato cha pili kwenye pdf download (FTNA NECTA Form Two 2025)

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa rasmi Ratiba ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA) kwa mwaka 2025. Katika makala hii, utapata muhtasari wa ratiba pamoja na maelekezo muhimu ya kufuata. Pia tumekuwekea kiungo cha kupakua ratiba ya PDF.
Ratiba ya FTNA – Novemba 2025


Maelekezo Muhimu
- Wanafunzi wote watalazimika kufanya mtihani katika kituo walichosajiliwa.
- Ukichelewa zaidi ya dakika 30 baada ya mtihani kuanza, hutaruhusiwa kuingia.
- Hairuhusiwi kuingia na vifaa au maandiko yasiyoruhusiwa.
- Mawasiliano yoyote kati ya wanafunzi hayaruhusiwi.
- Andika namba yako ya mtihani kwa usahihi kwenye kila karatasi ya majibu.
- Udanganyifu utapelekea matokeo kufutwa na unaweza kufungiwa kufanya mitihani ya NECTA siku zijazo.
- Mitihani itaendelea hata kama tarehe zitaangukia siku ya sikukuu ya kitaifa.
- Wanafunzi wa kujitegemea wanatakiwa kuwa na barua ya utambulisho.
Pakua Ratiba ya FTNA 2025 (PDF)
Bofya hapa kupakua Ratiba ya Kidato cha Pili 2025 (FTNA PDF)
https://www.necta.go.tz/webroot/uploads/news/FTNA_2025.pdf
Ratiba ya Kidato cha Pili 2025 (FTNA) ni mwongozo rasmi wa maandalizi ya mitihani ya kitaifa. Wanafunzi, wazazi na walimu wanashauriwa kuipitia kwa makini ili kuhakikisha maandalizi mazuri. Kuwa makini na muda, taratibu na maelekezo yote ya NECTA ili kufanikisha mitihani yako.
Makala Nyingine:
- Matokeo ya form two 2024/2025 (Matokeo Kidato Cha Pili) NECTA
- Usajili Kwa Watahiniwa Wa Kujitegemea Wa Kidato Cha Pili Na Nne 2025
- NECTA Yatangaza Matokeo ya kidato cha Pili 2024-2025 (FTNA)
- Jinsi ya kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato cha Tano Form five Selection 2025
- Ratiba ya Mtihani Darasa la Nne 2025 NECTA SFNA Time Table
- Ratiba Ya Mtihani Wa Kidato cha nne 2025 NECTA Form Four
- Ratiba Ya Mtihani wa darasa la saba 2025 PSLE
- Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na JKT 2025/2026 Form Six JKT Selection





Tuachie Maoni Yako