Ratiba ya Makundi CHAN 2025 Schedule (ratiba ya Tanzania CHAN), ratiba yako ya CHAN 2025 kwa mpangilio mzuri, ikiwa na Schedule & Results, hatua ya makundi na tarehe, viwanja na matokeo ya mechi zilizochezwa pamoja na muda wa mechi zijazo.
CHAN 2025 – Ratiba na Matokeo
Hatua ya Makundi
Kundi A
Jumapili, 3 Agosti 2025
- FT: Kenya 1 – 0 DR Congo (Moi International Sports Centre)
- FT: Morocco 2 – 0 Angola (Nyayo National Stadium)
Alhamisi, 7 Agosti 2025
- FT: DR Congo 2 – 0 Zambia (Nyayo National Stadium)
- FT: Angola 1 – 1 Kenya (Moi International Sports Centre)
Jumapili, 10 Agosti 2025
- FT: Kenya 1 – 0 Morocco (Moi International Sports Centre)
- FT: Zambia 1 – 2 Angola (Nyayo National Stadium)
Alhamisi, 14 Agosti 2025
- 17:00 Morocco vs Zambia (Nyayo National Stadium)
- 20:00 Angola vs DR Congo (Moi International Sports Centre)
Jumapili, 17 Agosti 2025
- 15:00 DR Congo vs Morocco (Nyayo National Stadium)
- 15:00 Zambia vs Kenya (Moi International Sports Centre)
Kundi B
Jumamosi, 2 Agosti 2025
- FT: Tanzania 2 – 0 Burkina Faso (Benjamin Mkapa National Stadium)
Jumapili, 3 Agosti 2025
- FT: Madagascar 0 – 0 Mauritania (Benjamin Mkapa National Stadium)
Jumatano, 6 Agosti 2025
- FT: Burkina Faso 4 – 2 Afrika ya Kati (Benjamin Mkapa National Stadium)
- FT: Mauritania 0 – 1 Tanzania (Benjamin Mkapa National Stadium)
Jumamosi, 9 Agosti 2025
- FT: Afrika ya Kati 0 – 1 Mauritania (Benjamin Mkapa National Stadium)
- FT: Tanzania 2 – 1 Madagascar (Benjamin Mkapa National Stadium)
Jumatano, 13 Agosti 2025
- FT: Madagascar 2 – 0 Afrika ya Kati (Benjamin Mkapa National Stadium)
- FT: Mauritania 1 – 0 Burkina Faso (Benjamin Mkapa National Stadium)
Jumamosi, 16 Agosti 2025
- 20:00 Burkina Faso vs Madagascar (Amaan Stadium)
- 20:00 Afrika ya Kati vs Tanzania (Benjamin Mkapa National Stadium)
Kundi C
Jumatatu, 4 Agosti 2025
- FT: Niger 0 – 1 Guinea (Mandela National Stadium)
- FT: Uganda 0 – 3 Algeria (Mandela National Stadium)
Ijumaa, 8 Agosti 2025
- FT: Algeria 1 – 1 Afrika Kusini (Mandela National Stadium)
- FT: Guinea 0 – 3 Uganda (Mandela National Stadium)
Jumatatu, 11 Agosti 2025
- FT: Afrika Kusini 2 – 1 Guinea (Mandela National Stadium)
- FT: Uganda 2 – 0 Niger (Mandela National Stadium)
Ijumaa, 15 Agosti 2025
- 17:00 Guinea vs Algeria (Mandela National Stadium)
- 20:00 Niger vs Afrika Kusini (Mandela National Stadium)
Jumatatu, 18 Agosti 2025
- 20:00 Algeria vs Niger (Nyayo National Stadium)
- 20:00 Afrika Kusini vs Uganda (Mandela National Stadium)
Kundi D
Jumanne, 5 Agosti 2025
- FT: Congo 1 – 1 Sudan (Amaan Stadium)
- FT: Senegal 1 – 0 Nigeria (Amaan Stadium)
Jumanne, 12 Agosti 2025
- FT: Senegal 1 – 1 Congo (Amaan Stadium)
- FT: Sudan 4 – 0 Nigeria (Amaan Stadium)
Jumanne, 19 Agosti 2025
- 20:00 Nigeria vs Congo (Benjamin Mkapa National Stadium)
- 20:00 Sudan vs Senegal (Amaan Stadium)
Hatua ya Mtoano (Knockout Stage)
Ijumaa, 22 Agosti 2025
- 17:00 TBC vs TBC (Moi International Sports Centre)
- 20:00 Tanzania vs TBC (Benjamin Mkapa National Stadium)
Makala Zaidi Za Michezo;
Tuachie Maoni Yako