Elimu Forum
  • Ajira
  • Biashara
  • Elimu
  • Forum
  • Habari
  • Ajira
  • Biashara
  • Elimu
  • Forum
  • Habari
Elimu Forum Elimu Forum
Elimu Forum Elimu Forum
Elimu Forum Elimu Forum
  • Ajira
  • Biashara
  • Elimu
  • Forum
  • Habari
Elimu Forum Elimu Forum
  • Ajira
  • Biashara
  • Elimu
  • Forum
  • Habari
Elimu Forum > Blog > Ajira > Nafasi Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June, 2025

Nafasi Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June, 2025

Ajira 4 weeks Ago Posted by imeandaliwa na elimuforum 1 Comment


πŸ‘‰πŸ‘‰ BONYEZA LINK WAKUBWA TU! 18+ ONLY


HII NI KWA WATU WAKUBWA PEKEE! ANGALIA SASA πŸ‘‰πŸ‘‰

Share on
Soma kinachofuata
Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga June, 2025

Nafasi Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama June, 2025, ajira mpya JSC Ajira portal registration Jsc Ajira portal login TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Juni 03, 2025 – Dodoma.

Contents hide
1 1. Hakimu Mkazi II – TJS II
2 2. Afisa Utumishi II – TGS D
3 3. Msaidizi wa Hesabu II – TGS B
4 4. Opereta wa Kompyuta II – TGS C
5 5. Opereta Msaidizi wa Kompyuta – TGS B
6 6. Mkutubi II – TGS D
7 7. Msaidizi wa Maktaba II – TGS B
8 8. Mpishi – TGS C
9 9. Msaidizi wa Kumbukumbu II – TGS C
10 10. Afisa Mwendesha Ofisi Daraja II – TGS D
11 11. Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II – TGS C
12 12. Dereva II – TGS B
13 13. Mlinzi – TGOS A
14 14. Msaidizi wa Ofisi – TGOS A
15 Maelekezo Muhimu kwa Waombaji

Tume ya Utumishi wa Mahakama inatangaza nafasi za ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa stahiki kuajiriwa katika Mahakama ya Tanzania. Fuatilia tangazo hili kwa nafasi, sifa na majukumu ya kila kada kama ifuatavyo:

1. Hakimu Mkazi II – TJS II

  • Sifa: Shahada ya Sheria (LL.B) na Stashahada ya Mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania). Wenye cheti cha kompyuta ni kipaumbele.
  • Kazi: Kusikiliza mashauri ya jinai/madai/ndoa/mirathi, kutoa hukumu, kusuluhisha mashauri, kufanya tafiti za kisheria n.k.

2. Afisa Utumishi II – TGS D

  • Sifa: Shahada ya Rasilimali Watu, Sociology, Utawala au Mipango ya Watumishi. Ujuzi wa kompyuta ni muhimu.
  • Kazi: Kudhibiti kumbukumbu za watumishi, kutafsiri miundo ya ajira, kupanga mafunzo, kuchambua takwimu n.k.

3. Msaidizi wa Hesabu II – TGS B

  • Sifa: Cheti cha Astashahada ya Uhasibu au ATEC I ya NBAA.
  • Kazi: Kutunza kumbukumbu na nyaraka za hesabu, kuandika rejista, kupeleka nyaraka benki n.k.

4. Opereta wa Kompyuta II – TGS C

  • Sifa: Stashahada ya Kompyuta na uzoefu wa miaka 3.
  • Kazi: Kazi za kiufundi za TEHAMA, kutunza data na vitabu vya matumizi ya kila siku.

5. Opereta Msaidizi wa Kompyuta – TGS B

  • Sifa: Astashahada ya mwaka mmoja ya masomo ya awali ya Kompyuta.
  • Kazi: Kuingiza taarifa kwenye mifumo ya TEHAMA, kuchambua nakala, kutoa ripoti n.k.

6. Mkutubi II – TGS D

  • Sifa: Shahada ya Ukutubi.
  • Kazi: Kupanga kazi, kuelekeza wakutubi, kuhakikisha usafi wa maktaba n.k.

7. Msaidizi wa Maktaba II – TGS B

  • Sifa: Cheti cha Kidato cha IV na mafunzo ya wasaidizi wa maktaba.
  • Kazi: Kuandikisha wasomaji, kupanga vitabu, kukarabati vitabu n.k.

8. Mpishi – TGS C

  • Sifa: Cheti cha Food Production na uzoefu wa miaka 3.
  • Kazi: Kupika, kusafisha jiko, kutunza vyombo vya kupikia.

9. Msaidizi wa Kumbukumbu II – TGS C

  • Sifa: Stashahada ya Utunzaji Kumbukumbu au Sheria, na ujuzi wa kompyuta.
  • Kazi: Kutunza masjala na mafaili, kuandika samansi, kuandaa orodha ya kesi n.k.

10. Afisa Mwendesha Ofisi Daraja II – TGS D

  • Sifa: Shahada ya Uhazili, hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza 120 wpm, ujuzi wa kompyuta.
  • Kazi: Kuratibu shughuli za ofisi, kufuatilia maagizo, kuandaa vikao n.k.

11. Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja II – TGS C

  • Sifa: Stashahada ya Uhazili, hatimkato ya 100 wpm, matumizi ya Word, Excel n.k.
  • Kazi: Kuchapa barua, kupokea wageni, kutunza ratiba na kumbukumbu n.k.

12. Dereva II – TGS B

  • Sifa: Kidato cha IV, Leseni Daraja E/C1, mafunzo ya VETA.
  • Kazi: Kuendesha gari, kufanya ukaguzi na matengenezo madogo, kukusanya nyaraka.

13. Mlinzi – TGOS A

  • Sifa: Kidato cha IV, cheti cha Mgambo au JKT.
  • Kazi: Kulinda mali na majengo, kudhibiti wageni, kutoa ushauri wa usalama.

14. Msaidizi wa Ofisi – TGOS A

  • Sifa: Kidato cha IV (Hisabati, Kiswahili, Kiingereza).
  • Kazi: Usafi wa ofisi, kusambaza barua, kupika chai, kutayarisha majalada n.k.

Maelekezo Muhimu kwa Waombaji

  • Muombaji awe Raia wa Tanzania, umri miaka 18–45, asiwe na kosa la jinai.
  • Maombi yatumiwe kwa njia ya kielektroniki tu kupitia: www.jsc.go.tz
  • Ambatanisha:
    • Vyeti vya elimu na matokeo
    • Cheti cha kuzaliwa
    • Picha (passport size)
    • Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
  • Watumishi wa umma wasiohitajika kuomba.
  • Mwisho wa kupokea maombi: 17 Juni, 2025
  • Waombaji wenye ulemavu watapewa kipaumbele.

Imetolewa na:
Lydia M. Churi
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Tume ya Utumishi wa Mahakama
Simu: 0734 219 821 / 0738 247 341
Barua pepe: [email protected]

Β sw-1749010368-TANGAZO AJIRA MPYA_03_6_2025_FS

Makala Nyingine:

  • Nafasi Za Kazi Halmashauri Mbalimbali 2025/2026 Ajira Mpya
  • Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mwanga June, 2025
  • Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Mji Nanyamba Mei, 2025
  • Nafasi za Kazi Ajira Portal, Serikalini na UTUMISHI 2025


πŸ‘‰πŸ‘‰ BONYEZA LINK WAKUBWA TU! 18+ ONLY


HII NI KWA WATU WAKUBWA PEKEE! ANGALIA SASA πŸ‘‰πŸ‘‰

Tags: Jsc Ajira portal login JSC Ajira portal registration Nafasi Za Kazi Tume ya Utumishi wa Mahakama

Je, Umependa?

Love
0
Sad
0
Happy
0
Share on
Share on Facebook Share on Twitter Share on Pinterest Share on Email
Previous Article Magroup ya ajira WhatsApp Tanzania 2025/2026
Makala Ya Mbele Mfumo wa Maombi ya Ajira wa Tume ya Utumishi wa Mahakama JSC

1 Review

  • Patson says:

    Naomba kazi

    Reply

Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Got a Questions?

Find us on Socials or Contact us and we’ll get back to you as soon as possible.

235.7k fans like
69.7k followers follow
Pinterest pin

Popular Posts

100 SMS za Kubembeleza Mpenzi wako Au Mke
101 Majina ya watoto wa kiume ya kiarabu
102 SMS za kutongoza rafiki yako
1xBalance – Mapinduzi ya Michezo ya Kubashiri kwa Uwajibikaji

Pia Unawezasoma Makala Hizi

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Shinyanga June, 2025

Posted by imeandaliwa na elimuforum 5 days Ago

Nafasi Za Kazi Halmashauri Ya Wilaya Ya Hai June, 2025

Posted by imeandaliwa na elimuforum 5 days Ago

Nafasi Za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze June, 2025

Posted by imeandaliwa na elimuforum 5 days Ago

Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Na Jeshi La Polisi Tanzania 2025

Posted by imeandaliwa na elimuforum 5 days Ago

Makala Na Habari Za kila siku zenye ubora wa hali ya juu. Tunahakikisha Kabla Makala Haijachapishwa kwenye Tovuti Yetu inafanyiwa uhakiki wa kutosha.

Unafafuta Ajira?

Tumekuandalia Ukurasa Maalum Ambao Utapata Matangazo ya Ajira mpya kila siku kutoka Ajira Portal na taasisi Nyingine Za Serikali na Binafsi Tanzania.

https://elimuforum.com/category/ajira/

Una Mapenzi Na Michezo?

Je, Wewe ni Mwanamichezo?Β  Kwenye Tovuti yetu pia utapata makala za Michezo ambazo zinahusu VilabuΒ  na Timu Mbalimbali za Tanzania na Afrika Kiujumla

https://elimuforum.com/category/michezo/

Soma Makala Za Elimu

Pia kwa Wasomi?Β  Kwenye Tovuti yetu tunakuandalia makala za elimu ambazo zinahusu taasisi za elimu na Vyuo Mbalimbali kutoka Tanzania na Barani Afrika Kiujumla.

SOMA HAPA
Β© Copyright Elimu forum - elimuforum.com | Habari na Makala