Hapa ni viwango vya Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba 2025/2026 Makadirio, kwenye makala hii tutachambua uwezekano wa kiasi cha pesa wanacholipwa wachezaji wa simba kulingana na uwezo wa kila mtu uwanjani Makala hii imechambua kwa kina.

Makadirio Ya Mishahara Ya Wachezaji Wa Simba SC 2025/2026
Makadirio ya mishahara ya wachezaji wa Simba SC kwa msimu wa 2025/2026 yanaonyesha mabadiliko makubwa kulingana na nafasi na umahiri wa mchezaji. Hapa ni baadhi ya viwango vya mishahara ya wachezaji wa Simba SC kama inavyoonekana:
- Ayoub Lakred (Goalkeeper, Morocco): 19 milioni TZS
- Moussa Camara (Goalkeeper, Guinea): 6 milioni TZS
- Aishi Salum Manula (Goalkeeper, Tanzania): 10 milioni TZS
- Fabrice Ngoma (Central Midfield, DR Congo): 24 milioni TZS (mchezaji aliyepewa mshahara mkubwa)
- Mzamiru Yassin (Central Midfield, Tanzania): 10 milioni TZS
- Mohamed Hussein (Left-Back, Tanzania): 18 milioni TZS
- Shomari Kapombe (Right-Back, Tanzania): 15 milioni TZS
- Che Malone (Centre-Back, Cameroon): 11 milioni TZS
- Denis Kibu (Left Winger, Tanzania): 18 milioni TZS
- Leonel Ateba (Centre-Forward, Cameroon): 20 milioni TZS
- Steven Mukwala (Centre-Forward, Uganda): 11 milioni TZS
Mishahara mingine ya wachezaji mbalimbali iko kati ya milioni 2 hadi 10 za Tanzanian Shillings, kulingana na nafasi na mchango wao klabuni. Mishahara hii inaonyesha uwekezaji mkubwa wa Simba SC ili kuhifadhi na kuvutia vipaji vya soka wenye kiwango cha juu ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Makadirio haya ya mishahara yanategemea taarifa zilizokua zikivuma kipindi cha usajili na taarifa zinazopatikana hadharani. Mishahara halisi ya wachezaji inaweza kuwa juu au chini ya makadirio haya.
Kwa ujumla, Simba SC inafanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa ina wachezaji bora ambao wataweza kuleta mafanikio katika msimu huu.
Makala Nyingine:









Tuachie Maoni Yako