Tuchambue kwa kina Mechi Ya TP Mazembe VS Yanga Ni Saa Ngapi? Terehe 14/12/2024 itachezwa muda gani hii mechi kati ya Yanga Dhidi ya TP Mazembe ya Congo.
TP Mazembe VS Yanga Ni Saa Ngapi?
Jumamosi hii mzunguko wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika inakamilika kwa Wananchi Yanga SC kuwa Lubumbashi kuwakabili TP Mazembe.
Mara ya mwisho Yanga SC alipokipiga na Mazembe nyumbani kwake, Wananchi waliibuka na ushindi.
Je, Yanga SC kuendeleza tena ubabe Lubumbashi?
Mechi hii itapigwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Terehe 14/12/2024
Makala Nyingine:
Leave a Reply