MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III C (ELIMU MAALUM)

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III C (ELIMU MAALUM) ULIOFANYIKA TAREHE 05/02/2025 PDF.

WRITTEN INTERVIEW RESULTS MWALIMU DARAJA LA III C – ELIMU MAALUM MDAs & LGAs

Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.

Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA PDF

Makala Nyingine: