Matokeo ya Darasa la Nne Mkoa Wa Geita 2025/2026 NECTA au kwa jina jingine SFNA results ambayo hutolewa na NECTA (Standard Four Results 2025/2026), Kwenye makala ya leo tutachambua kwa kina jinsi ya kuangalia matokeo ya darasa la nne 2025/26 mara nyingine kwenye PDF amabayo yanatarajiwa kutolewa hivi karibuni Tutazame Matokeo ya darasa la 4.
Matokeo ya Darasa la Nne Mkoa Wa Geita
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Darasa la nne 2025
- Fungua kivinjari kama Google Chrome, Mozilla Firefox, au Safari.
- Tembelea tovuti ya NECTA: NECTA Website. au https://necta.go.tz/results/view/sfna
- Chagua mwaka wa mtihani, yaani, 2025.
- Chagua Mkoa na Wilaya yako.
- Tafuta shule yako ndani ya Wilaya uliyotaja.
- Tafuta jina lako kwenye orodha ya matokeo ya shule yako.
- Matokeo yako yataonekana na alama zako zitatolewa.
Kupitia SMS
Kwa wale wasio na intaneti, NECTA hutoa huduma ya SMS:
- Piga *152*00# kwenye simu yako.
- Chagua Elimu, kisha NECTA, na baadaye MATOKEO.
- Ingiza Taarifa za Mtahiniwa: Jaza namba ya mtihani ya mwanafunzi pamoja na mwaka wa mtihani.
- Fuata maelekezo yatakayotolewa kupata matokeo yako
NECTA Website. au https://necta.go.tz/results/view/sfna
Sisi kama elimuforum.com, tunawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Darasa la Nne nchini Tanzania. Kwa wazazi na walezi, matokeo haya ni fursa ya kutambua mahitaji ya kitaaluma ya mtoto wako na kumsaidia mapema bila kumkatisha tamaa.
Makala Nyingine:









Tuachie Maoni Yako