Makundi Ya CHAN 2025 (Kundi B La Taifa Stars Tanzania)

Haya hapa Makundi Ya CHAN 2025 (Kundi B La Taifa Stars Tanzania) Kujua kila taifa linaloshiriki limepangwa kundi gani, Timu zote zilipangwa na kuchaguliwa kushiriki mashindano ya CHAN 2024 kwenda 2025 Droo ya Makundi CHAN 2024/2025.

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) leo limechezesha droo ya kupanga makundi ya michuano ya CHAN 2024 ambapo Tanzania imepangwa Kundi B na timu za;

  • Madagascar,
  • Mauritania,
  • Afrika ya Kati na
  • Burkinafaso.

Michuano ya CHAN 2024 inachezwa kwa ushirikiano wa Tanzania, Uganda na Kenya na sasa imeahirishwa kutoka kuchezwa February mwaka huu hadi August 2025 kwasababu ya kutoa muda zaidi wa maandalizi kwa Mataifa wenyeji.

Makundi Mengine Hapa Chini:

Makala Nyingine: