MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI WA OATS KWA BAADHI YA KADA

MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI WA OATS KWA BAADHI YA KADA

Mar 12, 2025

Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kwa mwezi Machi 2025, wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za usaili kwa baadhi ya kada.

Mabadiliko hayo yameoneshwa kwenye akaunti za waombaji kazi wote ambao tarehe zao za usaili zimebadilika.

MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI

Waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kwa mwezi Machi 2025, wanajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za usaili kwa baadhi ya kada.Mabadiliko hayo yameoneshwa kwa waombaji kazi wote ambao tarehe zao za usaili zimebadilika.

Hivyo; waombaji kazi wote wanatakiwa kuzingatia ratiba inoyoonekana kwenye akaunti zao za Ajira portal. Aidha, waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wanakumbushwa kuzingatia muda na vituo vya usaili wa kuandika kwa njia ya mtandao kama vilivyooneshwa kwenye akaunti zao. Ili kuona ratiba na taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.ajira.go.tz au piga simu huduma kwa wateja namba:026 2160350

Imetolewa na :
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

PDF Hapo Chini

MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI MACHI, 2025 (1)

RATIBA YA USAILI MACHI, 2025

Makala Nyingine:

  1. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CONSERVATION RANGER III-ARTISAN PLUMBING WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS)
  2. MATOKEO YA USAILI WA VITENDO WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU (TFS)
  3. Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025, Matokeo ya Utumishi wa Umma, Serikalini
  4. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE)
  5. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA CHUO KIKUU ARDHI MARCH 2025
  6. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III C (ELIMU MAALUM)
  7. MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA III C (UCHUMI, KILIMO, SHULE YA MSINGI ,TEHAMA NA URAIA)
  8. Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iii B Shule Ya Msingi,elimu Ya Awali,uraia, Historia Na Kiswahili