Mabadiliko Ya Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano Ajira Portal 2025 na UTUMISHI, Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni idara inayojitegemea iliyoanzishwa kwa Kifungu cha 29 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma SURA 298 iliyorekebishwa na Sheria namba 18 ya mwaka 2007.
PSRS ilianzishwa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri kwa niaba ya Serikali. Sheria ya Marekebisho Na.18 ya 2007 chini ya kifungu cha 29 (6) inaainisha majukumu ya PSRS kama ifuatavyo:-
Orodha ya Mabadiliko Ya Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Na Mahojiano
- MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
- MABADILIKO YA ENEO LA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA AFISA UTUMISHI II – DAR ES SALAAM
- MABADILIKO YA ENEO LA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA AFISA HESABU II – DAR ES SALAAM
- MABADILIKO YA TAREHE NA ENEO LA USAILI WA VITENDO WA SHIRIKA LA UVUVI (TAFICO)
- MABADILIKO YA TAREHE NA ENEO LA USAILI WA VITENDO MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI
Sote tunajua kuwa kauli mbiu ya serikali ni kuimarisha uwazi na uwajibikaji kwa umma. PSRS itaziwezesha Wizara, Idara na Wakala zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi nyinginezo za Umma kupata rasilimali watu wenye uwezo stahiki kwa kuzingatia misingi ya haki, kutopendelea, uwazi na stahili katika utumishi wa umma wa Tanzania.
Kwa hiyo inatarajiwa kwamba, kwa kuzingatia kanuni hizo hapo juu; utumishi wa umma nchini Tanzania utakuwa wa kiwango cha juu na hivyo kuchangia ukuaji wa uchumi wa taifa kulingana na Dira ya 2025.
Mapendekezo:
Leave a Reply