Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La Iiic Kiswahili Uliofanyika Tarehe 25/01/2025.
Matokeo Ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja La III C
WRITTEN INTERVIEW RESULTS
MWALIMU DARAJA LA III C – KISWAHILI
MDAs & LGAs
Usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 30/01/2025.
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
Makala Nyingine:
Leave a Reply