Matokeo, Kikosi cha Yanga Vs Singida Black Stars (BS) Leo Machi 24, 2025, Yanga dhidi ya Singida BS Leo Live Stream Results Katika Mechi Ya Kirafiki katika uzinduzi wa uwanja Wa Singida Black Stars uliopewa Jina La Airtel Stadium Huko Singida.
Yanga Vs Singida Black Stars (BS) Leo
LEO Singida BS itakuwa inazindua uwanja wake mpya Airtel Stadium, katika kusindikiza uzinduzi huu watacheza mechi ya kirafiki na wananchi Yanga SC.
Mchezo huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara AzamSports1HD.
Mechi ya uzinduzi ni saa 10:00 jioni.
Singida BS 🆚 Young Africans SC
🏟️ Airtel Stadium (Mwigulu Complex)
Mechi ya kwanza yenye hadhi ya juu tutacheza kwenye uwanja wetu mpya #AirtelStadium dhidi ya Young Africans Jumatatu ijayo.
Kiingilio ni shilingi 10,000 tu kwa majukwaa yote. Nunua tiketi yako sasa kupitia @ncard_tanzania
Matokeo Yanga Vs Singida Black Stars
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🤝 #friendlymatch
⚽️ Singida BS SC🆚Young Africans SC
📆 24.03.2025
🏟 Airtel
🕖 10:00 Jioni
Matokeo Haya Hapa Chini
Mapendekezo:
- Matokeo, Kikosi cha Yanga vs Coastal union Leo CRDB federation cup
- Mechi ya Simba Vs Yanga SC Yaahirishwa (DERBY Ya Kariakoo)
- Matokeo, Kikosi cha Simba SC VS Yanga Leo Machi 08, 2025
- Derby Ya Kariakoo: Simba VS Yanga Patachimbika
- Mechi ya Simba na Yanga Ni Lini 2025
- Matokeo ya Yanga vs Pamba jiji leo Februari 28, 2025 live score
Leave a Reply