Matokeo, Kikosi Cha Yanga Vs MC Alger Leo 18 Januari 2025 Saa Ngapi?

Hapa ni Mchanganuo wa Matokeo, Kikosi Cha Yanga Vs MC Alger Leo Live 18 Januari 2025 Saa Ngapi? Patakuwa hapatoshi Uwanja wa Benjamini Mkapa Leo Jumamosi MC Alger VS Yanga SC Live watakapo kamatana uwanjani mechi ya kuamua nani anazidi kuwa mbabe wa CAF Champions League kwenye Msimamo Wa Kundi La Yanga Clubu bingwa Africa.

Yanga Vs MC Alger Leo 18 Januari 2025

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰

🏆 #totalenergiescafcl
⚽️ Young Africans SC🆚MC Alger
📆 18.01.2025
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 10:00 Jioni

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Kikosi Cha Yanga Vs MC Alger Leo

Matokeo ya Yanga Vs MC Alger Leo 18 Januari 2025

Dakika 45 za kwanza ni Bila Bila Yaani Yanga 0 na MC Alger 0 kipindi cha kwanza.

LEO, Yanga SC wapo dimba la Benjamin Mkapa wakikipiga na MC Algers, mechi ya mwisho hatua ya makundi

Wanachi wanaingia katika mchezo huu wakichwgizwa na kauli yao Gusa Achia Twende Robo Fainali, kwani wanataka ushindi ili kutinga hatua ya robo fainali.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Makala Nyingine: