kwenye makala tutaangalia Waliopata Mkopo awamu ya Tatu HESLB 2025/2026 (orodha ya Majina), pia tutatoa mwongozo jinsi ya kuangalia kama umepata mkopo (Majina haya Hutangazwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu Ya Juu Tanzania.
Katika makala hii, tutachambua orodha ya majina ya waliopata mkopo katika awamu ya tatu ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kwa mwaka wa masomo 2025/2026, na kuelekeza jinsi ya kuangalia kama umepata mkopo.
Majina ya Waliopata Mkopo Awamu ya Tatu HESLB
Idadi ya Wanafunzi Walionufaika na Mikopo
Jinsi ya Kuangalia Kama Umepata Mkopo
HESLB imetengeneza mfumo wa mtandao ambapo wanafunzi wanaweza kuangalia kama wamepangiwa mkopo. Ili kufanikisha hilo, fuata hatua hizi:
- Tembelea tovuti rasmi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu: https://olas.heslb.go.tz/olams/account/login
- Ingia kwa kutumia jina lako la mtumiaji (username) na nywila (password) ambazo ulitumia wakati wa kuomba mkopo.
- Mara baada ya kuingia kwenye akaunti yako, utapata taarifa za mkopo wako, ikiwa ni pamoja na kiasi cha mkopo ulichopangiwa na mwaka wa masomo.
Kwa wale waliopata mkopo kupitia awamu ya tatu, hongereni! Kwa wale ambao bado hawajapata taarifa za mkopo, ni vyema kuendelea kufuatilia kupitia tovuti ya HESLB, kwani mchakato wa upangaji wa mikopo unafanyika kwa awamu.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inaendelea kusaidia wanafunzi wa elimu ya juu kupata ufadhili wa masomo, kuhakikisha kwamba elimu inapatikana kwa wote, bila kujali uwezo wa kifedha.
Makala Nyingine:
Good
Good empowerment done by our nation
Congratulation
Ni mara yangu ya nne nakosa mkopo elimu ya juu, Naumia kusoma hizi data, naomba msaada kama kuna mtu ataona comment yangu hii nataka kusoma na kila mara naomba mkopo bila kukosea namba yangu ya form four S2378.0120.2016 💔
Lakini napongeza serikali imejitahidi sana, naombeni msaada, sijakata tamaa
Naumia sana nikikatazwa kufanya mtihani kwajili ya ADA….lakini nikiomba mkopo sipati na hii ni mara ya pili
Bodi ya mikopo naiomba inionee